- 119 viewsDuration: 3:07;Wadhibiti wa vyama vya kisiasa kutoka Kenya, Malawi na Sierra Leone wameonya kuwa demokrasia barani Afrika inatishiwa na udhaifu wa vyama vya kisiasa na vile ambavyo havina mifumo imara. Haya yanajiri huku nchi hizo tatu zikitia saini mikataba ya makubaliano ya ushirikiano wa kuanzisha shirikisho la halmashauri za udhibiti wa vyama vya kisiasa barani Afrika. Shirikisho hilo litasaidia kuratibu mageuzi na kubadilishana maarifa kuhusu usimamizi wa vyama vya siasa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive