Skip to main content
Skip to main content

Udhibiti wa mafuriko Budalang'i

  • | Citizen TV
    696 views
    Duration: 3:26
    Kutokana na janga la mafuriko katika eneo bunge la Budalang'i kaunti ya Busia, miundo msingi na taasisi kadhaa zikiwemo shule ziliathirika pakubwa kutokana na kiwango cha maji hayo. Mojawapo ya shule hizo ni shule ya upili ya ack musoma ambayo mafuriko ya tangu mwaka wa 2019 yalikuwa yamekatiza shughuli za masomo shuleni humo, ikilazimu shule hiyo kuhamishiwa kwingine