- 109 viewsDuration: 1:49Licha ya Afrika kuwa na takriban asilimia 60 ya ardhi isiyotumika kwa shuguli za kilimo, bara hili bado linakabiliwa na pengo kubwa la ufadhili wa kilimo la dola bilioni 90 kila mwaka, hali ambayo wataalam wanasema inadidimiza uzalishaji wa chakula.