Skip to main content
Skip to main content

Ugavi wa ardhi ya Chelimo/ Kevogo kaunti ya Kericho wazua utata

  • | Citizen TV
    322 views
    Duration: 1:57
    Maskwota wa shamba la Kevogo kaunti ya kericho ni kwamba Spika wa Bunge la Kaunti ya Kericho, Patrick Mutai, amewataka watu waliopatiwa mashamba kwa njia isiyo halali katika eneo la Chelimo/Kevogo kuondoka mara moja. Utata mkubwa umezuka kufuatia ugawaji wa ekari 155 za ardhi iliyokusudiwa kupewa maskwota wa eneo hilo. Akizungumza katika Bunge la Kaunti, Spika Mutai alisisitiza kuwa ni muhimu kuhakikisha haki na usawa katika ugawaji wa ardhi hiyo.