Skip to main content
Skip to main content

Ugavi wa ardhi ya Kevogo wapelekea maskwota kuandamana

  • | Citizen TV
    220 views
    Duration: 1:56
    Maskwota zaidi ya 400 waliandamana na kuvamia ofisi ya Gavana wa kericho Erick Mutai wakitaka kujumuishwa katika orodha ya wanufaika wa mgao wa ardhi katika eneo la Kevoko Estate. Wanalalamika kuwa waliondolewa kinyume na sheria kutoka kwenye orodha rasmi ya maskwota 1,500 waliopangiwa kugawiwa ardhi chini ya mpango wa upanuzi wa mji wa Kericho.