8 Jul 2026 10:17 am | Citizen TV 81 views Duration: 1:37 Kikundi kimoja kidaicho kutetea ardhi ya wakazi wa kaunti ya Kwale chatishia kuelekea mahakamani kuwashtaki baadhi ya maafisa wa serikali kikisema waendeleza dhulma wakati wa ugavi wa ardhi zilzopewa wakaazi.