Skip to main content
Skip to main content

Ugonjwa wa selimundu waendelea kuwa changamoto kwa familia kaunti ya Bungoma

  • | Citizen TV
    448 views
    Duration: 2:11
    Ugonjwa wa seli mundu unaendelea kuwa changamoto kwa familia nyingi katika Kaunti ya Bungoma, huku serikali na wahisani wakihimizwa kuweka mikakati zaidi ya kuhakikisha waathiriwa wanapata huduma za afya na msaada unaohitajika.