Skip to main content
Skip to main content

Uhaba wa maji safi bado ni changamoto katika shule nyingi mashinani

  • | Citizen TV
    260 views
    Duration: 3:02
    Upatikanaji wa maji safi ya matumizi bado ni changamoto katika shule nyingi, hasa katika maeneo ya mashinani. Hali hiyo ilidhihirika wazi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika yaliyofanyika mjini Homa Bay.