- 153 viewsDuration: 2:57Uhaba wa maji katika maeneo ya wafugaji unaendelea kuwa changamoto kubwa inayozima ndoto ya elimu kwa watoto wa kike kutoka jamii ya Wasamburu. Wanafunzi wengi wa kike hukosa kuhudhuria masomo na badala yake hutumia muda mwingi kutafuta bidhaa hiyo adimu. Kama anavyoarifu mwanahabari wetu Bonface Barasa, hali hiyo pia imechangia ongezeko la visa vya ndoa za mapema.