- 1,326 viewsDuration: 3:31Mamia ya wazazi wamesalia kwenye njia panda, baada ya kukosa nafasi ya wana wao kujiunga na sekondari ya juu. Baadhi ya shule maarufu nchini zilinakili idadi ya wanafunzi kupita kiasi, ambapo wazazi wengi walipendelea watoto wao wajiunge na shule za ngazi ya C1, zilizojulikana kama shule za kitaifa hapo awali.