- 3,939 viewsDuration: 2:49Wakazi wa kisiwa cha Rusinga katika kaunti ya Homa bay wateseka Kwa muda mrefu kwa kukosa barabara kisiwani humo. Ni hali ambayo yalemaza pakubwa sekta ya uvuvi na elimu . Hata hivyo, ujenzi wa barabara ya Ring waleta matumaini kwa jamii ya Rusinga