- 642 viewsDuration: 5:58Wakazi wanaotumia Barabara ya Ushirika Kwenye wadi ya Olkeri kaunti ya Kajiado wanalalamikia kukwama Kwa mradi wa Barabara tangu mwaka wa 2019.Wanasema mwanakandarasi alitelekeza ujenzi wa Barabara hiyo na kuwacha wakazi kuhangaika wakati wanasafiri, pia visa vya kihuni vimeongezeka kwenye Barabara hiyo