Skip to main content
Skip to main content

Wakenya kutazama tukio la kunaswa kwa mwezi usiku wa leo

  • | Citizen TV
    25,177 views
    Duration: 2:00
    Hii leo kuanzia saa mbili na nusu usiku, ulimwengu utashuhudiwa kupatwa kwa mwezi, tukio litakalodumu kwa takriban dakika 82. Hapa nchini bodi ya utalii kupitia kwa wizara ya utalii inaandaa hafla maalum huko samburu ambapo watalii kutoka mataifa mbalimbali duniani wanakongamana kutazama tukio hilo.