Skip to main content
Skip to main content

Ujenzi wa daraja la Wabukhonyi Kabuchai kaunti ya Bungoma

  • | Citizen TV
    28 views
    Wakazi wa Wabukhonyi eneobunge la Kabuchai katika kaunti ya Bungoma wana kila sababu ya kutabasamu baada ya serikali ya kaunti kukarabati daraja liunganishalo maeneo ya Wabukhonyi na soko la Chwele.