18 Jun 2026 10:54 am | Citizen TV 323 views Duration: 2:04 Wakazi wa Wabukhonyi eneobunge la Kabuchai katika kaunti ya Bungoma wana kila sababu ya kutabasamu baada ya serikali ya kaunti kukarabati daraja liunganishalo maeneo ya Wabukhonyi na soko la Chwele.