11 Sep 2026 1:30 pm | Citizen TV 1,082 views Duration: 1:09 Ujenzi wa nyumba za bei nafuu Makueni uliotarajiwa kukamilika mwezi Novemba umechelewa. Mshirikishi wa serikali Jacob Muganda amemlaumu mkandarasi kwa kuchelewesha kukamilika kwa mradi huo.