- 1,350 viewsDuration: 2:15Kuendelezwa kwa mradi wa ujenzi wa reli kutoka Naivasha-Narok-Kisumu hadi Malaba kwang'oa nanga rasmi eneo la Motony viungani mwa mji wa Narok huku Philip Mainga ,Mkurugenzi Mtendaji wa shirika hilo nchini akitabiri ongezeko la uchumi kwa kiwango kikuu hasa kwa sekta za Utalii na Kilimo katika Kaunti ya Narok.