- 6,390 viewsDuration: 2:36Shirika la Reli nchini limeanza ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR kutoka Kaunti ya Narok hadi Jiji la Kisumu. Akikagua mradi huo, Mkurugenzi Mkuu wa Kenya Railways, Philip Mainga, amesema reli hiyo yenye urefu wa kilomita 264 itapitia kaunti tano. Wakazi wamepongeza ujenzi huo wakisema utachochea ajira na kuchangia maendeleo ya Kaunti ya Kisumu.