5 Sep 2025 10:56 am | Citizen TV 155 views Duration: 1:58 Wafanyibiashara eneo bunge la Mwatate kaunti ya Taita Taveta wanasema ujenzi wa soko la kisasa eneo la Mwatunge litasaidia katika kunabuni nafasi za ajira kwa vijana sehemu hiyo