Skip to main content
Skip to main content

Ukame waharibu zaidi ya asilimia 30 ya mbegu ya mahindi

  • | Citizen TV
    470 views
    Duration: 2:48
    Taifa limepoteza zaidi ya asilimia 30 ya mbegu ya mahindi msimu huu, kwa mujibu wa Wizara ya Kilimo. Hata hivyo, wakulima wanasema kuwa zaidi ya nusu ya mazao yao yameharibikia shambani kutokana na uhaba wa mvua katika kaunti ya Trans Nzoia, eneo linalojulikana kama ghala la taifa. Serikali imesema imeanzisha tathmini ya kubaini hali halisi ya madhara ya ukame.