- 490 viewsDuration: 2:10Ukosefu wa uhamsisho, muda mrefu wa kurejeshwa kwa vitambulisho na umbali wa vituo vya kujiandikisha zinatajwa kuwa baadhi ya sababu za idadi kubwa ya wakazi wa eneo bunge la nambale kaunti ya busia kukosa vitambulisho vya kitaifa.