Skip to main content
Skip to main content

UMEME MASHINANI

  • | KBC Video
    593 views
    Duration: 2:07
    Caroline Kitu, Mkazi wa Dabaso - KILIFI: Kabla ya kuwa na umeme, tulikabiliana na changamoto nyingi ingawa tulitegemea umeme wa jua. Watoto walikuwa na wakati mchache wa kusoma, usalama ulikuwa jambo la kuhangaikia sana, na mbuzi na kuku wetu walikuwa wakifa. Sasa umeme umefika Dabaso, maisha yetu hakika yatabadilika na kuwa bora. Tutaweza kufungua biashara na kuboresha maisha yetu. Tunamshukuru mbunge wetu, Owen Baya, na shirika la REREC kwa kuleta umeme nyumbani kwetu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News