Skip to main content
Skip to main content

Umoja wa upinzani wakabiliwa na madai ya migawanyiko kuelekea uchaguzi wa 2027

  • | Citizen TV
    3,788 views
    Duration: 2:42
    Umoja wa upinzani umeendelea kukumbwa na ati ati ya migawanyiko huku viongozi wake wakitoa wito wa umoja kwa maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Baadhi ya viongozi hata hivyo wamepuuza migawanyiko yoyote wakisema ajenda yao inasalia kumuondoa Rais Ruto mamlakani. Willy Lusige anaarifu.