- 680 viewsDuration: 3:52Mzozo unaozingira uongozi wa shamba Ia Imbirikani kaunti ya Kajiado umefikia kikomo baada ya pande zote zilizokuwa zikizozana kushiriki uchaguzi ambapo Upande wa unaoongozwa na Daniel Metui Uliibuka na Ushindi. Mzozo huo ambao umedumu mahakamani kwa takariban Miaka mitatu umesababisha shuguli mbali mbali ikiwemo kukamilisha kwa utoaji wa hati miliki kwa wanachama kukwama , na sasa baada ya uchaguzi huo shuguli zote zitarejelewa tena.