Skip to main content
Skip to main content

Upasuaji wabaini mwanafunzi Laikipia alifariki kwa jeraha la risasi

  • | Citizen TV
    1,184 views
    Duration: 3:23
    Upasuaji wa maiti ya mwanafunzi wa miaka 17 aliyeuawa kwa kupigwa risasi wakati wa maandamano ya kupinga kituo cha karantini ya Ebola huko Laikipia umeonyesha kuwa alifariki kutokana na jeraha la risasi kichwani. Uchunguzi huo umeonyesha kuwa Sylvester Muigai aliuawa baada ya risasi kubaki kichwani. Haya yanajiri huku wanaharakati wa haki wakiishutumu serikali kwa kile wanachosema ni kuweka kipaumbele malipo ya fidia badala ya kuwawajibisha maafisa wa polisi wanaodaiwa kuhusishwa na mauaji na visa vya dhulma.