- 6,479 viewsDuration: 2:18Maafisa wa upelelezi wamewahoji watu kadhaa akiwemo mwalimu mkuu na wasimamizi wa shule ya wasichana ya Utumishi Academy eneo la Gilgil kuhusu mkasa huo wa moto. Aidha, maafisa hao wamewahoji walinzi pamoja na wanafunzi katika juhudi za kutanzua chanzo cha tukio hilo. Na kama anavyoripoti Franklin Wallah, mlezi msimamizi wa shule hiyo alishindwa kueleza alikokuwa wakati wa mkasa huo.