- 560 viewsDuration: 2:48Viongozi wa upinzani wakiongozwa na kinara wa Chama cha Wiper Patriotic Front, Kalonzo Musyoka, wamesema watakata rufaa kupinga uamuzi wa Mahakama ya Rufaa ulioruhusu uuzaji wa asilimia 15 ya hisa za kampuni ya Safaricom kwa kampuni ya Vodacom ya Afrika Kusini. Majaji wa Mahakama ya Rufaa wameipa serikali kibali cha kuendelea na mchakato huo, ambao umeifanya Vodacom kumiliki asilimia 55 ya hisa za Safaricom.