- 186 viewsSiasa za Umoja wa Upinzani na mchakato wa kumteua atayepeperusha bendera ya Upinzani ili kushindana na Rais William Ruto mwaka wa 2027, zilishamiri Katika Mazishi ya Jackson Karua, babake Kinara wa PLP Martha Karua. Kila Kiongozi alionekana kujipigia debe huku wakisisitiza kuwa wanaazimia kuafikia mgombea mmoja. Hata hivyo viongozi hao wamewaonya wale watakaoasi upinzani na kuungana na Rais William Ruto atakuwa Msaliti wa Wafuasi wao.