- 4,243 viewsDuration: 2:48Viongozi wa upinzani wanaitaka IEBC kuandaa kongamano la kuzungumzia mxhakato w auchaguzi mwezi Oktoba. Viongozi hao wanasema kongamano hilo litasaidia kutatua masuala ibuka na kuhakikisha kuwa maandalizi ya uchaguzi yanafanyika kwa njia yenye uwazi. Haya ni huku wakitetea utendakazi wa kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka, alipokuwa serikalini kinyume na madai ya Rais william ruto kuwa hakufanya lolote