- 1,886 viewsDuration: 2:38Viongozi wa upinzani wameilaumu serikali kwa kile wanachokitaja kuwa uzembe na ukosefu wa mikakati madhubuti ya kuzuia ugonjwa wa Ebola kuingia nchini. Wakizungumza wakati wa ziara yao mjini Mombasa, viongozi hao wamezitaka nchi zinazofadhili mipango ya kudhibiti kuenea kwa ugonjwa huo kuhakikisha kuwa fedha zinazotolewa zinatumika ipasavyo na kuziba mianya ya ubadhirifu.