Skip to main content
Skip to main content

Upinzani wakosoa ruwaza ya maendeleo ya Rais Ruto

  • | Citizen TV
    1,948 views
    Duration: 2:04
    Viongozi wa upinzani wamepuzilia mbali ruwaza ya maendeleo iliyodokezwa na Rais William Ruto Alhamisi usiku, wakisema kuwa uongozi wake umeshindwa kuboresha uchumi wa taifa. Viongozi hao wanaojumuisha kinara wa DCP Rigathi Gachagua, kinara mwenza wa Wiper Kalonzo Musyoka, naibu kinara wa chama cha Jubilee Dkt. Fred Matiang'i, na kinara wa chama cha UGM David Maraga wamesema serikali ya Rais Ruto imeshindwa kuimarisha maisha ya Wakenya huku ikiruhusu ufisadi kukithiri.