Skip to main content
Skip to main content

Upinzani walalamikia ghasia za Ol Kalou

  • | Citizen TV
    833 views
    Duration: 2:23
    Viongozi wa upinzani wameelezea wasiwasi wao kuhusiana na ghasia zinazozidi kutawala kwenye kampeni za uchaguzi mdogo wa Ol Kalou. Viongozi hao wameitaka serikali kusitisha vurugu za mara kwa mara eneo hilo ili kuwapa wananchi nafasi ya kumchagua mbunge wanayemtaka siku ya Alhamisi. Aidha, wameionya IEBC dhidi ya kuahirisha uchaguzi huo. Chrispine Otieno na taarifa hiyo.