- 5,390 viewsDuration: 2:40Viongozi wa upinzani wamekashifu serikali kwa kile wamekitaja kuwa utumizi wa wahuni kuvamia mikutano yao ya kisiasa. Viongozi hao akiwemo kinara wa DCP Rigathi Gachagua na kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka, wamemtaka Rais William Ruto kuwajibika kisiasa kufuatia kuendelea kuvurugwa kwa mikutano ya upinzani nchini.