- 5,247 viewsDuration: 3:20Viongozi wa upinzani sasa wanaonya kuwa taifa linazidi kushuhudia ukiukaji mkubwa wa Katiba kufuatia uvamizi ulioshuhudiwa katika All Saints' Cathedral Nairobi Ijumaa iliyopita. Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka amesema kuwa maafisa wa usalama wamegeuka kuwalinda wahuni badala ya kudumisha usalama.