Skip to main content
Skip to main content

Upinzani wapinga ruwaza ya 2060, wadai njama ya Ruto kuongeza muda mamlakani

  • | Citizen TV
    1,799 views
    Duration: 1:46
    Viongozi wa upinzani wamepuuzilia mbali mazungumzo ya ruwaza ya mwaka wa 2060 ambayo yamezinduliwa na Rais William Ruto hii leo. Kinara wa DCP, Rigathi Gachagua, na wandani wake wamedai kuwa ni njama ya serikali ya kubadilisha Katiba kumpa Rais Ruto muda zaidi mamlakani. Aidha, ukosoaji wa uzinduzi huu umetolewa na naibu kinara wa Jubilee, Fred Matiang’i, na Kalonzo Musyoka.