Skip to main content
Skip to main content

Upinzani wataka mgombea wa urais ateuliwe mapema

  • | Citizen TV
    6,297 views
    Duration: 3:26
    Vinara wa upinzani sasa wanataka kuharakishwa kwa uteuzi wa mgombea urais atakayeshindana na Rais William Ruto katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Kinara wa DCP Rigathi Gachagua ameongoza wito huo, akisema yuko tayari kumuunga mkono yeyote atakayependekezwa kubeba bendera ya upinzani. Kamau Mwangi anaarifu kuhusu siasa za upinzani zilizojiri katika sehemu tofauti.