- 1,318 viewsDuration: 2:58Wanasiasa wa upinzani kutoka DCP na Jubilee sasa wanataka mfumo wa kubaini gharama ya mafuta nchini kuwekwa wazi ili kubaini wa kina kiini cha kupanda kwa bei ya bidhaa hii. Aidha, vyama hivi vimewataka wakenya kupinga mswada wa fedha wa mwaka 2026, wakisema unalenga kuongeza ushuru zaidi kwenye baadhi ya bidhaa na huduma muhimu. Hata hivyo Naibu Rais Kithure Kindiki amehimiza umuhimu wa Kusawazisha kilio cha wananchi na uwezo wa uchumi wa nchi kuhimili hali iliyopo