Skip to main content
Skip to main content

Upinzani wataka Wanga na Kaluma wakamatwe kwa ghasia za Homa Bay

  • | Citizen TV
    12,459 views
    Duration: 3:16
    Viongozi wa upinzani sasa wanataka kukamatwa kwa Gavana wa Homa Bay Gladys Wanga na Mbunge wa Homa Bay Mjini Peter Kaluma kwa madai ya kuchochea ghasia zilizoshuhudiwa hapo jana. Katika kikao na wanahabari, viongozi wa Linda Mwananchi pia wametaka kujiuzulu kwa Waziri wa Usalama Kithure Murkomen, Katibu wake Raymond Omollo na Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja, kwa kile wanachosema ni kukosa kuwajibikia majukumu yao. Gatete Njoroge na taarifa zaidi.