19 May 2026 10:45 am | Citizen TV 3,570 views Duration: 2:06 Baadhi ya wahudumu wa matatu warejea kazini Kwa mwendo wa kinyonga kaunti ya mombasa ,huku abiria wakilalamikia kuongezwa Kwa nauli mara dufu.