22 Jul 2026 10:24 am | Citizen TV 1,862 views Duration: 1:24 Maafisa wa serikali kuu na viongozi wa kaunti ya Garissa wazindua kamati ya kuhakikisha wale ambao hawajapata vitambulisho wasajiliwa na vile vile kuandikishwa kama wapiga kura.