- 583 viewsDuration: 2:27Idara ya usalama imeihakikishia tume huru ya uchaguzi kuwa itadumisha usalama wakati wa uchaguzi mkuu ujao. Kwenye kikao hapa Nairobi, makamishna wa IEBC wanakutana na maafisa wakuu wa polisi kujadili mikakati ya usalama katika uchaguzi mkuu ujao, ikiwemo utendakazi wa vifaa vya kielektroniki vya uchaguzi