18 Aug 2026 1:52 pm | Citizen TV 416 views Duration: 1:25 Mpango unaoendelea wa kusambaza umeme vijijini katika Kaunti Ndogo ya Awendo unabadilisha eneo hilo hatua kwa hatua, ukifungua fursa mpya za ukuaji wa uchumi na kuboresha ubora wa maisha kwa wakaazi.