Skip to main content
Skip to main content

Utafiti: Murang'a yaongoza kwa utendakazi wa ugatuzi

  • | Citizen TV
    548 views
    Duration: 2:34
    Utafiti wa punde zaidi wa kampuni ya Infotrak unaonyesha kuwa asilimia kubwa ya Wakenya wanaamini ugatuzi umerahisisha utendakazi ikilinganishwa na miaka ya nyuma. Utafiti huo pia unaonyesha kuwa Gavana wa Murang'a Irungu Kang'ata ndiye bora zaidi miongoni mwa magavana. Seth Olale anatuarifu.