Skip to main content
Skip to main content

Utafiti wa Infotrak wamtaja Babu Owino mbunge anayefanya vyema zaidi

  • | Citizen TV
    4,349 views
    Duration: 2:28
    Utafiti wa punde zaidi wa kampuni ya Infotrak umetoa orodha ya utendakazi wa wabunge ambapo Mbunge wa Embakasi East, Babu Owino, ametajwa kuwa mbunge anayefanya vyema zaidi. Mbunge wa Kabuchai, Majimbo Kalasinga, ameshika nafasi ya pili huku Mbunge wa Kiharu, Ndindi Nyoro, akifuatia katika nafasi ya tatu. Willy Lusige anaarifu.