Skip to main content
Skip to main content

Utafiti wa TIFA waonyesha Linda Mwananchi yaongoza, Sifuna apanda

  • | Citizen TV
    9,972 views
    Duration: 3:37
    Utafiti wa hivi punde wa kampuni ya TIFA unaonyesha kuwa Linda Mwananchi inaendelea kupata uungwaji mkono mkubwa huku umaarufu wa seneta wa Nairobi Edwin Sifuna ukiwazidi Kalonzo Musyoka, Fred Matiang'i na Rigathi Gachagua wanaoazimia kupeperusha bendera ya upinzani ya urais. Aidha utafiti huo unaonyesha kuwa Rais William Ruto angali anaongoza kwa umaarufu wa wagombea urais.