Skip to main content
Skip to main content

Utafiti waonyesha kuwa walimu wanawake hawapandishwi vyeo kama wanaume

  • | Citizen TV
    955 views
    Duration: 3:37
    Walimu wanawake bado wanakabiliwa na vikwazo vya kupata nafasi za uongozi katika shule za sekondari za umma. Utafiti unaonyesha kuwa chini ya asilimia 35 ya wakuu wa shule ni wanawake, huku safari yao ya kufikia uongozi mkuu ikichukua muda mrefu zaidi kuliko ya wanaume.