- 2,177 viewsDuration: 3:17Rais William Ruto anatarajiwa kuzuru Kaunti ya Kajiado wiki hii, huku wakazi wa Magadi wakitarajia kutumia ziara hiyo kumfikishia kilio chao kuhusu kufungwa kwa kampuni ya Tata Chemicals. Wakazi hao sasa wanamtaka Rais kuhakikisha wanasikizwa na kushirikishwa katika mazungumzo yoyote kuhusu kufunguliwa tena kwa kampuni hiyo