- 133 viewsDuration: 3:31Kukwama kwa miradi mingi ya maendeleo katika kaunti ya Busia kumetajwa kuchangiwa na utepetevu wa baadhi ya maafisa katika serikali ya kaunti hiyo, ikidaiwa kuwa baadhi ya miradi hubadilishwa ama kutolewa kwenye bajeti inayopitishwa na bunge la kaunti hiyo.