Skip to main content
Skip to main content

Utumishi Girls yaandaa maombi maalum kwa watahiniwa wa KCSE

  • | Citizen TV
    687 views
    Duration: 3:00
    Shule ya Upili ya Wasichana ya Utumishi imeandaa hafla maalum ya maombi kwa watahiniwa wa Kidato cha Nne wanapojiandaa kufanya mtihani wa KCSE mwaka huu. Watahiniwa 151 wanakabiliwa na maandalizi ya mtihani huo bila wenzao saba, ambao ni miongoni mwa wanafunzi 16 waliofariki katika mkasa wa moto uliotokea miezi miwili iliyopita. Ben Kirui alihudhuria hafla hiyo na kutuandalia taarifa ifuatayo.