Skip to main content
Skip to main content

Utunzaji wa punda nchini

  • | Citizen TV
    130 views
    Duration: 3:16
    Kutokana na ongezeko ya visa vya wizi wa punda nchini,kwa sababu ya ongezeko ya vichinjio vya punda Turkana ,hamasisho limefanywa kwa wafugaji wa kuhamahama Lokichar eneo bunge la Turkana kusini,kuwahimiza watunze punda. wakereketwa wa kulinda mnyama huyo wanaitaka serikali kubuni sheria ya kulinda punda dhidi ya kudhulumiwa